Michuano ya Klabu Bingwa Afrika yapamba Moto.

Sauti 20:55
CAF
CAF CAF

Michezo mbalimbali ya klabu Bingwa imepigwa mwishoni mwa juma hili la Januari 20, 2019, Baadhi ya Michezo Kundi D Timu ya Simba ya Tanzania yapigwa Magoli 5-0 na AS Vital ya DRC,Al Ahly ya Misri yatoka sare na AS Saoura ya Algeriam nalo kombe la Shirikisho Gor Mahia yafuzu.Ungana na Steven Mumbi akiwa na wachambuzi Collins Liberty na Kahozi Kosha kutatmini Mashindano hayo katika Jukwaa la Michezo.