Habari RFI-Ki

Uganda kuzuia kampuni za michezo ya kubashiri

Imechapishwa:

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, ameagiza kutotolewa upya kwa leseni kwa kampuni za michezo ya kubashiri kwa madai kuwa inawapotezea muda vijana wengi na kuwafanya kuwa wavivu.Msikilizaji ana maoni gani ?

Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni REUTERS/Tiksa Negeri/File Photo