Siku ya Upigaji Picha Duniani yaadhimishwa Tanzania

Sauti 20:00
Meneja wa Maonesho ya Upigaji picha za Habari Sophie Boshouwers akizungumza na Mpiga Picha Aika Kimaro huko Alliance Francais
Meneja wa Maonesho ya Upigaji picha za Habari Sophie Boshouwers akizungumza na Mpiga Picha Aika Kimaro huko Alliance Francais Picha/Steven Mumbi

Kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya upigaji picha za Habari, Picha zinazoelezea hali wanazokabiliana nazo wananchi katika mataifa Mbalimbali, kutoka barani Afrika ni asilimia 2 tu ya picha hizo huonekana Duniani.Katika Makala ya Nyumba ya Sanaa Steven Mumbi anaangazia umuhimu wa Upigaji Picha za Habari.