Sisi Tambala Band wataka Vijana kujikita katika Muziki wa Asili

Sauti 20:30
Ignus Kapyunka wa Sisi Tambala; akicharaza Gitaa la besi katika Onyesho la Band hiyo, Alliance Francais Dar es salaam
Ignus Kapyunka wa Sisi Tambala; akicharaza Gitaa la besi katika Onyesho la Band hiyo, Alliance Francais Dar es salaam Picha/World Press

Sisi Tambala Bendi ni Bendi ya Muziki wa Asili kutoka Tanzania, iliundwa mwaka 1997, tayari imefanya maonesho ya jukwaani katika Nchi Mbalimbali Duniani ikiwa ni pamoja na nchi za Ulaya, Asia na Afrika.Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Kiongozi wa Bendi hiyo Nanjuja Nanjuja pamoja na wasanii wanaounda bendi hiyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wakizungumzia Mfanikio yao kimuziki.