Kimbokota; Sanaa ya Ubunifu haijawekezwa ipasavyo Mashuleni

Sauti 19:55
Safina Kimbikota akifanya Ubunifu katika karakana yake jijini Dar es salaam
Safina Kimbikota akifanya Ubunifu katika karakana yake jijini Dar es salaam Picha/Safina Kimbokota

Sanaa ya Ubinufu ndio sanaa mama katika Uchoraji,Uchongaji na hata katika matumizi ya vyuma chakavu katika kuunda Vifaa mbalimbali.Katika Makala ya Nyumba ya Sanaa Ungana na Steven Mumbi akizungumzuza na Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM, Safina Kimbokota wakizungumza Sanaa hiyo na Mapokeo ya wanafunzi kusoma Sanaa katika elimu ya juu.