Jukwaa la Michezo

Mwakyembe; Maandalizi ya Serengeti Boys kuelekea AFCON U17 yakamilika

Imechapishwa:

Waziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na michezo nchini Tanzania amesema Maandalizi ya kikosi cha Vijana wenye Umri wa chini ya Miaka 17,Serengeti Boys kuelekea michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika AFCON U17, yamefikia hatua nzuri na tayari kikosi kipo kambini.Ungana na Steven Mumbi pamoja na Fredrick Nwaka katika Mkala ya Jukwaa la Michezo wakichanganua michuano hiyo, Mchezo wa Simba na Yanga, Klabu ya Isamily kurejeshwa katika Michuano ya Klabu Bingwa miongoni mwa mengi utakayoyasiki.

Ali Ngazi Mchezaji wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Uganda katika Michuano ya CECAFA
Ali Ngazi Mchezaji wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Uganda katika Michuano ya CECAFA Picha/Maktaba
Vipindi vingine