Kwanini raia wa Sudan Kusini wanakimbia nchi yao licha ya kuripotiwa kuimarika kwa usalama?

Sauti 10:01
Rais Sudan kusini Salva Kiir akiwa na Riek Machar, aliyekuwa makamu wake wa rais
Rais Sudan kusini Salva Kiir akiwa na Riek Machar, aliyekuwa makamu wake wa rais YONAS TADESSE / AFP

Raia zaidi ya elfu kumi wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini DRC kwa kile wanasema ukosefu wa usalama na kuapa kutorejea nchini mwao. Haya yanajiri  katika wakati ambao kunaripotiwa kuimarika kwa hali ya usalama na amani. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na  wasikilizaji wetu