Muziki Ijumaa

Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika

Sauti 11:54
Lucky Dube
Lucky Dube © Flicker Caboindex

Utotoni mwake Lucky Phillip Dube alilelewa sana na bibi yake kutokana na mama yake kufanya kazi nje ya mahali ambapo wanaishiili aweze kumudu maisha, Katika maisha yake Lucky Dube hakuwahi kumjua baba yake.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Muziki Ijumaa,akiangazia Maisha yake ya Kimuziki.