Jukwaa la Michezo

Harambee Stars yaanza Mazoezi kujiandaa na CHAN na AFCON

Sauti 20:59
Beki wa timu ya taifa ya soka ya Kenya, inayowajumuisha wachezaji wenye chini ya umri wa miaka 23, Johnstone Omurwa (katikati) kisherehekea bao la kwanza dhidi ya Mauritiusakiwa pamoja na Joseph Okumu na Chrispinus Onyango.
Beki wa timu ya taifa ya soka ya Kenya, inayowajumuisha wachezaji wenye chini ya umri wa miaka 23, Johnstone Omurwa (katikati) kisherehekea bao la kwanza dhidi ya Mauritiusakiwa pamoja na Joseph Okumu na Chrispinus Onyango. Football Kenya Federation/twitter.com

Jumla ya wachezaji 17 kati ya wachezaji 25 wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee stars walifanya mazoezi yao ya kwanza siku ya Juamanne ya Februari 19 mwaka huu kujiandaa na mashindano ya taifa bingwa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani (CHAN) na ile ya klabu Bingwa barani afrika (AFCON).Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Jukwaa la Michezo na Fredrick Nwaka wakiangazia Michezo mbalimbali iliyochomoz`a kwa juma zima.