Mzozo baina ya Rwanda na Uganda waathiri shughuli za kiuchumi

Sauti 09:55
Mpaka wa Gatuna unaotenganisha nchi za Uganda na Rwanda
Mpaka wa Gatuna unaotenganisha nchi za Uganda na Rwanda The East African

Mgogoro wa kidilpomasia baina ya Rwanda na Uganda umechukua sura mpya baada ya wafanyabiashara na wananchi wa Uganda kulalama kuzuiwa na maofisa wa Uganda kutumia mpaka wa Gatuna kwa shughuli za usafirishaji. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao