Haki ya Kupata Dhamana kwa Mtuhumiwa Sehemu ya Pili

Sauti 10:04
Vifaa vinavyotumika Mahakamani
Vifaa vinavyotumika Mahakamani Mahakama

Karibu katika Sehemu ya pili Katika Makala Haya tukiangazia Haki ya kupata Dhamana kwa Mtuhumiwa.Unagana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Wakili wa Kujitegemea kutoka nchini Tanzania, Jebra Kambole katika sehemu ya pili ya Haki ya Kupata Dhamana, karibu Msikilizaji.