Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno

Sauti 12:12
Raisi wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na raisi wa Uganda Yoweri Museveni (Kulia) wakiwa Entebe MAY 2018
Raisi wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na raisi wa Uganda Yoweri Museveni (Kulia) wakiwa Entebe MAY 2018 Photo: Michele Sibiloni

Makala ya mjadala inaangazia mvutano wa kidiplomasi akati yamataifa mawili ya Afrika mashariki,Uganda na Rwanda wakati huu jumuiya ya Afrika mashariki ikiwa  kimya..wachambuzi Abbas Mwalimu na Haji Kaburu wanadadavua kwa kina.