Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Usambazaji wa Filamu wawa kikwazo cha Sanaa ya Uigizaji Kuendelea Tanzania

Sauti 20:00
Muigizaji wa Filamu wa Kiswahili nchini Tanzania
Muigizaji wa Filamu wa Kiswahili nchini Tanzania Picha/Wema Sepetu
Na: RFI

 Filamu za Kiswahili ni Miongoni mwa Filamu zinazopendwa sana katika nchi za Afrika Mashariki si kutokana na kuwa zinatumia lugha adhimu ya Kiswahili tu bali pia ni kutokana na Maudhui na upekee zilionao.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiangazia Sanaa hii na changamoto zinazowakabili Waigizaji nchini Tanzania

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.