Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Mloka;Ushairi wa zamani ulikuwa unakonga nyoyo za Wengi

Sauti 19:59
Sura ya Kitabu cha Diwani ya Mloka
Sura ya Kitabu cha Diwani ya Mloka Picha/Mloka
Na: RFI

Ushairi ni Sanaa iliyotumika kukuza Lugha ya Kiswahili katika Nchi za Afrika Mashariki,ikiwemo Tanzania hasa wakati wa kupigania uhuru na hata baada ya Uhuru katika kuhamasisha watu kufanya Maendeleo.Steven Mumbi amezungumza na Mshairi wa siku nyingi nchini Tanzania,Charles Mloka, Ungana nae katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.