Jua Haki Zako

Dunia inajifunza nini kutokana na mauaji ya kimbari na kuheshimu haki za binadamu

Imechapishwa:

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia maadhimisho ya mauaji ya kimbari, ikitazama kwa kina ni ikiwa dunia imejifunza kutokana na ukatili na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliotekelezwa wakati wa mauaji ya Kimbari.

Wananchi wa Rwanda wakiwa wamewasha mishumaa kuwakumbuka watu waliouawa wakati wa mauaji ya kimbari mwaka 1994
Wananchi wa Rwanda wakiwa wamewasha mishumaa kuwakumbuka watu waliouawa wakati wa mauaji ya kimbari mwaka 1994 ©RFI/Pierre René-Worms
Vipindi vingine