Jua Haki Zako

Ripoti ya Amnesty International kuhusu utekelezwaji wa adhabu ya kifo duniani

Sauti 09:58
Watetezi wa haki za binadamu wakiwa na mabango ya kupinga adhabu ya kifo
Watetezi wa haki za binadamu wakiwa na mabango ya kupinga adhabu ya kifo ROMEO GACAD / AFP

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ripoti ya shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International kuhusu utekelezaji wa adhabu ya kunyonga duniani, unajua ni mataifa mangapi bado yananyonga na yale ambayo yameacha kunyonga? Fuatilia makala haya.