Jua Haki Zako

Dhana ya utawala bora barani Afrika na haki za binadamu

Sauti 09:57
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni. REUTERS/Tiksa Negeri/File Photo

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kwa kina kuhusu dhana ya utawala bora barani Afrika, kwanini viongozi wengi wa Afrika wanangangania kukaa madarakani hata baada ya muhula wao? Kwanini wanashuhudia utekelezaji wa vitendo vya unyanyasaji na ukatili dhidi ya raia wao? fuatilia makala haya.