Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi aaga dunia

Sauti 20:18
Reginald Abraham Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro.
Reginald Abraham Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro. eastafricatv.twitter.com

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii inatuama kuangazia kifo cha mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania Dr.Reginald Mengi,mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kisanii kama Bob Wine kuachiliwa kwa dhamana na mzozo wa kisiasa waendelea kutokota nchini Venezuela. Ungana na Fredrick Nwaka anayekuletea makala haya