Nyumba ya Sanaa

Hali ya Muziki na Wanamuziki wa Tanzania

Sauti 19:57
Vifaa vya kusikilizia Sauti
Vifaa vya kusikilizia Sauti Steven Mumbi

Kutana na Imelda Munyaga Mwalimu wa Sanaa za aina mbalimbali.Katika Makala haya anazungumza na Steven Mumbi kuhusu Sanaa ya Muziki na Uigizaji.