Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais wa DRC atimiza Siku 100 Madarakani

Imechapishwa:

Katika Makala haya Juma hili,Miongoni mwa tluyoyapa Uzito katika Matangazo yetu ni pamoja na Wananchi wa DRC watoa mitizano yao kuhusu Siku 100 za Rais Tshisekedi, Waandamanaji Sudan waendelea kutaka Utawala wa kiraia, Sudani Kusini mvutano waendelea kati ya Rais Kiir na Machar na Afrika kusini kumefanyika Uchaguzi Mkuu.Mwenyeji wako katika Makala ya juma hili ni Steven Mumbi karibu.

Democratic Republic of Congo's Felix Tshisekedi swears into office during an inauguration ceremony as the new president of the Democratic Republic of Congo at the Palais de la Nation in Kinshasa, Democratic Republic of Congo January 24, 2019
Democratic Republic of Congo's Felix Tshisekedi swears into office during an inauguration ceremony as the new president of the Democratic Republic of Congo at the Palais de la Nation in Kinshasa, Democratic Republic of Congo January 24, 2019 REUTERS/ Olivia Acland
Vipindi vingine