Ripoti ya LHRC kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto nchini Tanzania
Imechapishwa:
Sauti 10:02
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaidadavua kwa kina ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania LHRC kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto.