Jua Haki Zako

Umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu

Sauti 10:03
Mwendhesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC, Fatou Bensouda akiwa kwenye moja ya vikao vya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, UN
Mwendhesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC, Fatou Bensouda akiwa kwenye moja ya vikao vya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, UN UN

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia ikiwa umoja wa Mataifa unatekeleza kwa vitendo kuhusu ulinzi wa haki za binadamu kiduni.