Habari RFI-Ki

Nchi za Afrika mashariki zinachukua tahadhari baada ya mlipuko wa ebola nchini Uganda

Sauti 10:39
maofisa wa shirika la afya duniani wakiwa nchini Uganda baada ya kuripotiwa kwa visa vya maradhi ya ebola
maofisa wa shirika la afya duniani wakiwa nchini Uganda baada ya kuripotiwa kwa visa vya maradhi ya ebola REUTERS/Samuel Mambo

Ugonjwa wa ebola umeripotiwa kuingia nchini Uganda katika wilaya ya Kasese, Je mataifa ya Afrika mashariki yanachukua hatua zipi? Fredrick Nwaka amekuandalia makala ya habari rafiki kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu