Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

Sauti 20:06
Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani
Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani Picha:Wamwiduka
Na: RFI
Dakika 21

Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania mpaka jijini Dar es salaam kufanya sanaa hii.Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Viongozi wa Bendi hiyo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.