Habari RFI-Ki

Rais Paul Kagame aonya nchi yoyote itakayochezea amani na usalama wa taifa lake

Sauti 10:15
Rais wa Rwanda Paul Kagame
Rais wa Rwanda Paul Kagame SIA KAMBOU / AFP

Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa onyo kali kwa taifa lolote litakalochezea amani na usalam wa Rwanda, onyo linalokuja baada ya kuahirishwa kwa mazungumza baina ya Kigali na Kampala yanayolenga kumaliza mvutano uliopo baina ya mataifa hayo mawili. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.