Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

Sauti 20:08
Afisa wa filamu nchini Kenya Bonventure Kioko (Kulia) akizungumza na mwandishi wetu Steven Mumbi (Kushoto) Novemba 16 2019
Afisa wa filamu nchini Kenya Bonventure Kioko (Kulia) akizungumza na mwandishi wetu Steven Mumbi (Kushoto) Novemba 16 2019 RFI
Na: RFI
Dakika 21

Serikali ya Kenya imeendelea kutilia mkazo suala la kukagua maudhui ya kazi za sanaa nchini humo kwa lengo la kuhakikisha kuwa, ujumbe wa filamu na muziki sio wa kupotosha. Tunaangazia hili na afisa katka bodi ya filamu nchini humo Bonventure Kioko.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.