Habari RFI-Ki

Umoja wa Mataifa washutumu serikali ya Sudani Kusini kwa kuajiri wapiganaji katika vyombo vya usalama na ujasusi

Sauti 10:20
Rais Salva Kiir na Kiongozi wa waasi Dr. Riek Machar
Rais Salva Kiir na Kiongozi wa waasi Dr. Riek Machar ALEX MCBRIDE / AFP

Umoja wa mataifa umelaani vikali hatua ya serikali ya rais Salva Kiir kuajiri wapiganaji katika vyombo vya usalama huku pia ukinyooshea kidole Kenya na Uganda kwa kushindwa kusaidia mchakato wa amani nchini Sudani Kusini. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao.