Habari RFI-Ki

Jumuiya ya Afrika Mashariki yatimiza miaka 20 tangu ilipoasisiwa kwa mara ya pili

Sauti 10:27
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika mashariki katika moja ya mikutano yao
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika mashariki katika moja ya mikutano yao DW

Jumuiya ya Afrika mashariki imetimiza miaka 20 tangu ilipoasisiwa kwa mara ya pili mwaka 1999. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza  na wasikilizaji ikiwa jumuiya hiyo imetimiza malengo yake au imesalia kuwa jumuiya ya viongozi.