Fahamu kuhusu utaratibu wa kisheria baada ya kuvunjika kwa uchumba

Sauti 09:32
Uchumba unaotambulika kwa mujibu wa sheria za mataifa mengi ni ule wahusika wanakuwa wamevalishana pete
Uchumba unaotambulika kwa mujibu wa sheria za mataifa mengi ni ule wahusika wanakuwa wamevalishana pete Reuters/路透社

Mara kadhaa katika mataifa ya Afrika kumeripotiwa matukio ya kuvunjika kwa uchumba baina ya mwanaume na mwanamke waliokuwa na matarajio ya kufunga ndoa. Je utaratibu wa kisheria ukoje? Ungana na Fredrick Nwaka katika makala ya Jua Haki Zako