Hatua ya Uganda kuachilia wanyarwanda tisa inaweza kupunguza joto la uhasama baina ya mataifa hayo mawili?

Sauti 09:18
Raia tisa wa Rwanda waliokuwa wakishikiliwa nchini Uganda baada ya kuachiliwa huru
Raia tisa wa Rwanda waliokuwa wakishikiliwa nchini Uganda baada ya kuachiliwa huru The Obsever

Serikali ya Uganda imetangaza kuwaachilia huru raia tisa wa Rwanda waliokuwa wakishikiliwa katika kambi za kijeshi nchini humo. Je hatua hii inaweza kupunguza joto la mvutano uliopo baina ya Kampala na Kigali. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.