Rwanda na Uganda zabadilishana wafungwa zikilenga kutafuta suluhu ya mzozo wa kidiplomasia baina yao

Sauti 09:55
Mpaka wa Gatuna unaotenganisha mataifa ya Uganda na Rwanda, mpaka huo umefungwa kutokana na mzozo baina ya nchi hizo mbili
Mpaka wa Gatuna unaotenganisha mataifa ya Uganda na Rwanda, mpaka huo umefungwa kutokana na mzozo baina ya nchi hizo mbili www.newtimes.co.rw

Nchi za Rwanda na Uganda zimekubaliana kubadilishana wafungwa huku viongozi wa mataifa hayo wakitarajia kukutana katika mpaka wa Gatuna, ikiwa na hatua ya karibuni zaidi ya kutafuta suluhu ya mzozo wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.