Habari RFI-Ki

Mahakama ya katiba Burundi yabariki ushindi wa Evariste Ndayishimiye kama rais

Imechapishwa:

Kiongozi wa upinzani nchini Burundi na Agathon Rwasa akubali uamuzi wa mahakama ya katiba ya kumuidhinisha Evariste Ndayishimiye kama mshindi wa uchaguzi wa urais mwezi Mei.

Evariste Ndayishimiye, alikuwa mgombea wa chama tawala CNDD-FDD
Evariste Ndayishimiye, alikuwa mgombea wa chama tawala CNDD-FDD AFP