Habari RFI-Ki

Rais Kenyatta na mpango wa kutaka kubadilisha katiba

Imechapishwa:

Matamshi ya rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuhusu uzewekano wa nchi yake kufanyia katiba ya mwaka wa 2010 marekebisho.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (kushoto) na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wapeana mkono kuashiria maelewano wakati wa maombi ya mwaka jijini Nairobi Mei 31, 2018
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (kushoto) na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wapeana mkono kuashiria maelewano wakati wa maombi ya mwaka jijini Nairobi Mei 31, 2018 Evans Ouma AFP