JHikoman ndani ya studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:22
Mwanamuziki wa miondoko ya Rege kutoka nchini Tanzania, Jhikoman amezuru studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya na kuzungumzia kuhusu ujio wa wimbo wake mpya. Usikosi kutufollow kwa Instagram @billy_bilali