Wananchi wa Senegal wapigakura kwa utulivu huku mustakali wa taifa hilo ukisubiri matokeo
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:02
Habari rafiki hii leo inaangazia juu ya uchaguzi wa nchini Senegal, Changamoto zinazokabili Siasa za nchi hiyo, hasa kufuatia Rais wa nchi hiyo Abdoulaye Wade kuwania Urais kwa awamu ya tatu