Siha Njema

Umuhimu wa chanjo katika kukabiliana na maambukizi ya maradhi yoyote

Sauti 09:48
Vifaa vya chanjo vinavyotumika kutoa huduma kwa watoto
Vifaa vya chanjo vinavyotumika kutoa huduma kwa watoto

Chanjo ni dawa inayotengenezwa na vijidudu vinavyosababisha magonjwa ya maambukizi, Kutokana na umuhimu wa chanjo kama kinga wa magonjwa ya maambukizi kwa watoto,makala ya Siha Njema juma hili itangazia juu ya umuhimu wa Chanjo kwa watorto katika nchi zetu za Afrika mashariki na kati