Habari RFI-Ki
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani na onyo kwa serikali kuacha kupunguza wafanyakazi kwa kisingizo cha kubana matumizi
Imechapishwa:
Cheza - 09:52
Wafanyakazi Duniani kote wameadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyokwenda sambamba kwa Vyama vya Wafanyakazi kutaka serikali za nchi zao kuacha kutumia kisingizio cha kubana matumizi kwa kuwafuta kazi wafanyakazi huku pia wakitaka usalama kazini pamoja na kuboreshwa kwa mazingira ya kazi.