Siha Njema

Msongo wa mawazo na athari zake katika mfumo wa uzazi na kufanya tendo la ndoa

Sauti 10:06
Mwanamke mwenye msongo wa mawazo kitu ambacho kinatajwa kuchangia matatizo kwenye tendo la ndoa
Mwanamke mwenye msongo wa mawazo kitu ambacho kinatajwa kuchangia matatizo kwenye tendo la ndoa

Hali ya msongo wa mawazo inaonekana kuwa ni changamoto mkubwa kwa watu wengi katika katika jamii zetu siku hizi. Hali hii mara nyingi husabisiha watu wengi kushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Juma hili katika makala yetu ya Siha Njema itaangazia juu ya sababu na athari za msongo wa mawazo(stress)