Afrika Ya Mashariki

Ukeketaji kwa watoto wa kike nchini Kenya pamoja na matatizo kama hayo nchini Uganda na Tanzania

Sauti 09:10
Vifaa vya asili ambavyo vinatumika kwa ajili ya kufanyia wanawake ukeketaji vyote vikiwa ni venye ncha kali
Vifaa vya asili ambavyo vinatumika kwa ajili ya kufanyia wanawake ukeketaji vyote vikiwa ni venye ncha kali

Makala ya Afrika Ya Mashariki leo inaangazia vitendo haramu vya ukeketaji watoto wa kike nchini Kenya. Msikilizaji ataendelea kusikiliza makala zijazo juu ya ukeketaji Kenya na Tanzania; na changamoto nyingine kwas wananchi wa Kenya, Uganda na Tanzania.