Gurudumu la Uchumi

Hali ya Uchumi Duniani wakati wafanyakazi wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani

Sauti 09:41
Wafanyakazi nchini Urusi wakiandamana kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa tarehe 1 May kila mwaka
Wafanyakazi nchini Urusi wakiandamana kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa tarehe 1 May kila mwaka А.Подрабинек/RFI

Msikilizaji wa RFIkiswahili juma hili katika makala ya gurudumu la uchumi tutaangazia hali ya uchumi ilivyo hivi sasa barani afrika na ulaya na jinsi ambavyo wafanyakazi waliadhimisha siku yao kidunia huku malalamiko makubwa kwa serikali zao ni mshahara mdogo, mfumuko wa bei ni tatizo kwa pato na uchumi wa familia zao.