Mjadala wa Wiki
Wanajeshi watiifu kwa Rais aliyepinduliwa Nchini Mali Toure wataka kutekeleza Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kijeshi
Imechapishwa:
Cheza - 10:41
Hali ya kisiasa nchini Mali baada ya kundi la wanajeshi watiifu kwa rais wa zamani wa nchi hiyo aliepinduliwa madarakani Amadou Toumani Toure kuendesha jaribio la mapinduzi kwa kuviteka vituo muhimu mathalan Radio na Televisheni pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa wa jijini Bamako. Mali Ali mchambuzi kutoka Burundi na Robert Mkosamali muhadhiri na mchambuzi wa maswala ya kisiasa wanachambua kwa kina hali hiyo.