Habari RFI-Ki

Ziara ya ghafla ya Rais Obama nchini Afghanistan na kutangaza kumaliza vita nchini humo

Sauti 09:54
Rais wa Marekani Barack Obama akiwa nchini Afghanistan kwenye Kambi ya Jeshi lake linalolinda amani nchini humo
Rais wa Marekani Barack Obama akiwa nchini Afghanistan kwenye Kambi ya Jeshi lake linalolinda amani nchini humo REUTERS/Kevin Lamarque

Rais wa Marekani Barack Obama na mwenzake wa Afghanistan Hamid Karzai wametiliana saini makubaliano ya hatua ambazo zitachukuliwa baada ya kukamilika kwa vita nchini humo na Majeshi ya Washington chini ya mwamvuli wa NATO yatakapoondoka.