Wimbi la Siasa

Kukua kwa Mgogoro wa Sudan na Sudan Kusini huku Baraza la Usalama likitishia kuziwekea vikwazo

Sauti 10:00
Athari ambazo zinashuhudiwa Nchini sudan na Sudan Kusini kutokana na mapigano yanayoendelea
Athari ambazo zinashuhudiwa Nchini sudan na Sudan Kusini kutokana na mapigano yanayoendelea

Makala ya Wimbi la Siasa hii leo itaangazia maendeleo ya mgogoro Sudan na SudanKusini baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha Azimio la kuzitaka nchi Hizo zirejee katika meza ya mazungumzo ili kumaliza mgogoro huo.Baraza hilo limezionya nchi hizo kuwa zitakabiliana na vikwazo endapo zitashindwa kutekeleza Azimio hilo.Je Azimio hilo linaweza kuwa dawa ya kumaliza tofauti baina ya nchi hizo mbili? Fuatilia makala haya ili upate kujua undani wa suala hilo.