Habari RFI-Ki

Siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari Duniani na vikwazo ambavyo wanakabiliana navyo waandishi wa habari

Sauti 09:30
Waandishi wa Habari wa Tanzania wakiwa kwenye majukumu yao ya kukusanya habari kabla ya kuzitoa kwa wananchi
Waandishi wa Habari wa Tanzania wakiwa kwenye majukumu yao ya kukusanya habari kabla ya kuzitoa kwa wananchi

Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari imeadhimishwa huku Eritrea ikiwa kinara wa kubinya uhuru wa habari huku hali ikizidi kuwa mbaya na kufuatia na nchi za Korea Kaskazini, Syria na Iran hii ni kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Kutetea Haki za Binadamu Duniani.