Habari RFI-Ki

Mapigano yaendelea kushika kasi Mashariki mwa Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC huku wananchi wakikimbia

Sauti 09:55
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huko Mashariki katika eneo la Goma wakikimbia machafuko kando yao vikiwa vifaru vya kijeshi
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huko Mashariki katika eneo la Goma wakikimbia machafuko kando yao vikiwa vifaru vya kijeshi

Hofu imendelea kutanda Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC kutokana na kuibuka kwa mapigano kati ya jeshi na Waasi wa UCP wanaoongozwa na Mbabe wa Vita Thomas Lubanga na kuchangia wananchi wengi kukimbilia nchini Rwanda kuomba hifadhi ya ukimbizi.