Muziki Ijumaa

Oliver Ng'oma Gwiji la miondoko ya Afro Zouk na Reggae kutoka Gabon

Sauti 10:01
Gwiji la Miondoko ya Afro Zouk na Reggae kutoka nchini Gabon Oliver Ng'oma
Gwiji la Miondoko ya Afro Zouk na Reggae kutoka nchini Gabon Oliver Ng'oma

Makala ya Muziki Ijumaa, inamwangazia mwanamuziki Nguli wa Miondoko ya Afro Zouk, Reggae halikadhalika mpiga Gitaa, Mwanamuziki mwenye asili ya Gabon, Oliver N'goma