Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Chama Cha ODM nchini Kenya chapoteza Naibu Kiongozi wake huku Wananchi wa Ufaransa wakisubiri kupiga kura kuchagua rais

Sauti 19:36
Naibu Kiongozi wa zamani wa ODM Musalia Mudavadi ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na kujiunga na Chama Cha UDFP
Naibu Kiongozi wa zamani wa ODM Musalia Mudavadi ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na kujiunga na Chama Cha UDFP

Fukuto la Uchaguzi wa Rais nchini Kenya lazisi kupambana moto huku wagombea zaidi wakijitokeza, Wafanyakazi waadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani na kuainisha vikwazo vinavyowakabili, Nchi ya Mali yashuhudiwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoshindwa, Taifa la Myanmar laendelea kuonesha hatua za mabadiliko ya kidemokrsaia na wananchi wa Ufaransa kupiga kura kesho kuchagua rais wa taifa hilo.