Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mashambulizi yaendelea kutikisa Sudan na Sudan Kusini wakati huu ambapo mshambulizi matatu ya kujitoa mhanga yakitekelezwa nchini Syria
Imechapishwa:
Cheza - 19:45
Sudan na jirani zao wa Sudan Kusini wameendelea kupambana kwenye eneo la mipaka yao wakigombea maeneo yenye utajiri wa mafuta, Mashambulizi matatu ya mabomu ya kujitoa mhanga yatekelezwa nchini Syria kwenye miji ya Damascus, Rais wa Marekani Barack Obama awa rais wa kwanza wa nchi hiyo kuunga mkono ndoa za jinsia moja, Njama za Mtandao la Al Qaeda Tawi la nchini Yemen kutaka kushambulia ndege za abiria za Marekani labainika na Wananchi wa Ufaransa wamchagua Francois Hollande kwenye duru la pili la uchaguzi wa urais nchini humo uliofanyika jumapili iliyopita.