Habari RFI-Ki

Unafahamu kuwa kumekuwepo na ongezeko kubwa la dawa bandia za Malaria barani Asia na Afrika?

Sauti 10:11

Katika makala haya utafahamu jinsi nchi za Kenya na Tanzania zinavyokabiliana na changamoto ya uingizwaji wa dawa bandia za kutibu Malaria.Ungana na Sabina Chrispine Nabigambo ufahamu mengi.