Habari RFI-Ki

Maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika,na masuala mbalimbali ndani ya Afrika

Sauti 09:45
Bendera za mataifa ya Afrika zikipepea mbele ya ofisi za Umoja wa mataifa ya Afrika.
Bendera za mataifa ya Afrika zikipepea mbele ya ofisi za Umoja wa mataifa ya Afrika.

Habari rafiki hii leo imesheheni mambo mbalimbali yaliyoufikisha Umoja wa Afrika na Afrika ilipo leo,.ikiwa ni kumbukumbu ya siku ya kuundwa kwa Umoja wa Afrika tarehe 25 May 1963.Karibu..